Maelezo ya Mali
Nina kiwanja pamoja na nyumba vinauzwa vipo Mbagala Rangi Tatu (Saku ya mwisho, Mtaa wa Mkondogwa).
Nyumba tayari ipo lakini haijaisha, pia kuna frame 12 ambazo bado hazijakamilika—ni nafasi nzuri sana ya kuwekeza au kumalizia kwa mpangilio wako. Kiwanja kipo ndani ya fensi tayari na huduma zote muhimu zipo (maji, umeme n.k).
Ukubwa wa kiwanja ni futi 120 × 120, na kipo takribani KM 2.25 kutoka barabara kuu, lakini pia kinafikika kirahisi hadi main road.
Bei ni Milioni 350, lakini inazungumzika kulingana na maelewano.
Kama utakuwa na interest, karibu uje uone mwenyewe ni sehemu nzuri sana na ina potential kubwa sana 👍