Maelezo ya Mali
Ninauza nyumba yangu ipo Tanga, Mabokweni.
Maelezo:
- Vyumba 4: vyumba 3 master, 1 public
- Sebule na jiko vipo
- Ukubwa wa kiwanja: 28m x 25m
- Umeme na maji: wiring tayari, bado haijaunganishwa
- Nyumba ni mpya, imejengwa miezi 7 iliyopita
- Bei: Million 50 maongezi yapo kidogo.