Tunatoa huduma mbalimbali kwa uaminifu na weledi mkubwa kwa mali za Tanzania nzima.
Kupanga nyumba, apartment, vyumba vya makazi na ofisi kupitia wakala wetu wa Dalali Smart.
Dalali Smart inakupa fursa ya kuona mali na bidhaa zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.
Tunakusaidia kuhakikisha unamiliki viwanja, nyumba na mashamba kihalali kupitia taratibu za kisheria.
Tumekuletea huduma pendwa sana kwa watu wote ambazo ni muhimu sana kwa maisha yetu ya kila siku.
Tunakusogezea huduma bora na za uhakika zinazoendana na bajeti yako. Hatupokei fedha mtandaoni — epuka matapeli.
Tuna uhusiano na madalali wa uhakika sehemu nyingi za Tanzania, na utaambiwa iwapo hatuna sehemu husika.
Unapata nafasi ya kujadiliana kwa kina kuhusu huduma unayoitaka, kuelewa mchakato mzima hadi mwisho.
Tunakupa uhakika wa mmiliki kwa nyaraka rasmi zinazotambulika kama vile hati kutoka kwa mamlaka husika.
Ukishajiridhisha na uhalali, unaweza kuendelea na hatua ya mwisho ya kupata huduma kwa usalama na kwa mlolongo rasmi.