Dalalismart - Madalali wa uhakika in Tanzania
Nyumbani Mali Zote Huduma Zote wakala

Dalali Smart Connect

Pata Huduma au Mali, Unganishwa na Mawakala na Mafundi kwa urahisi.

Advertisement

Mali Mpya Sokoni

Ona Zote

DalaliSmart Inafanyaje Kazi?

1
Tafuta Huduma au Mali

Tumia mfumo wetu rahisi kutafuta nyumba, viwanja, au mafundi bora karibu nawe kwa kuchuja eneo na bajeti.

2
Wasiliana na Wahusika

Ongea moja kwa moja na mawakala au watoa huduma kupitia mfumo wetu wa chat salama au piga simu moja kwa moja.

3
Kamilisha Muamala

Kagua mali au huduma, hakiki nyaraka, na kamilisha makubaliano yako kwa usalama ukitumia DalaliSmart.

Advertisement
Link Imekopiwa Kikamilifu!